kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza ni wiki ya pili sasa pc yangu inaji restart na kuandika maneno hayo hapo juu. Kwa mwenye uelewa tatizo hili nitalimalizaje? na sababu yake ni nini...
wanajamvi, nina tatizo la roaming connection kupitia moderm. modern inabadilika rangi inakua kijani mkoreo, speed inapungua inakua about 1kb/s. dashboard inaandika R, ukiwa unaistart dashboard...
husika na kichwa,nlikuwa naplay game ya gta xax ikasumbua ikanibid niformatt hard d na kuinstall window7 ultmate lkn kwa sas nikifungua ile game ya gta inanambia can not find enough available...
wakuu naomba mwenye kujua jinsi ya kureset password kwenye wi-fi router ya vodafone anisaidie nimeinunua kwa mtu (teja) na iko protected msaada kama naweza kutengeneza new password
Wadau! Natumaini mpo poa na harakati za kimaisha zinaendelea.
Hivi karibuni nilikikuta Sina ujanja, ikanidi nilirestore simu yangu (iphone) tukio Hilo lilipelekea kupoteza data zangu zote...
Hbr yenu wakuuu!!
Kam kichwa cha hbr kinavyojieleza apo.
Kuna system nimedownload apa naingiza username and password nilizozikuta kweny link ambako nmedownload but zinagom.
Kwahvo nilikuwa naombe...
Habari zenu jukwaani,
Naomba wajuzi na mafundi wa solar wanieleweshe, nataka kufunga Solar sehem ambayo matumizi yake ni kama ifuatavyo:-
1-mafeni mawili ya solar
2-taa 8 za solar
3-Amplifier ya...
Kwa mujibu wa wataalam wetu wanasema kwamna treni ya umeme ina kasi sana.. Je inatumia vp huo umeme kuwwza kufanya kazi.
1 inatumia umeme kutoka nje? Kama ilivyo majumbani... Na je umeme...
Dell laptop imegoma kuwaka na wala haipitishi chaji. Nilitumia majuzi hadi ikaisha chaji na kuzima kabisa.
Sasa leo nimejaribu kuchomeka chaji yake, taa inaonyesha kama chaji inapita lakini...
Natumia Toshiba..ina RAM 2gb, processor 2ghz na harddisk 320GB, zaidi za 160gb zipo free, lakini cha ajabu siku za karibuni imekuwa slow sana...karibia kila program inastack, naomba msaada wenu...
Wadau yamenikuta mwenzenu nilikua nikiambiwa sana kuhusiana na adsense kufingia account za africa na especial zinazotegemea traffic ya facebook sasa hatimae yamenikuta wamelamba account yangu...
Kiukweli ni lugha ambayo niliitamani na pia naipenda sana!! nna hamu nifike mbali hasa katika software development za simu au komputa!! je mdau uliye soma java, ulisomaje ukai master? je nisome...
Nina sim aina ya tecno y3 baada ya kuanza tatizo la kuwaka na kuzima bila kumaliza nikaamua kui flash baada ya kui flash nikaja kugundua ile sticker ya imei number kuna baadh ya imei...
Habari wakuu!naomba msaada juu ya samsung galaxy s3 ambayo nili upgrade kutoka android v4.0 kwenda4.3via odin ila baada yakumaliza inanimbia "emergency call only"na inafull signal na ukifanya...
Heshima mbele kwenu wakuu.
Hapa mkononi nina hiyo modem ya airtel wingle E82321.
Naombaa mwongozo jinsi ya kuifanyaa hiweze suport line zote.
............
Inafungukaa na browser