msaada tatizo la pc kunuka kama kitu kinaungua

social_science

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
1,106
1,259
habari wakuu
compyuta yangu aina ya dell imekua na tatizo hivi karibuni nikiwa naitumia inanuka kama kitu kinachoungua tatizo itakua nini hapa???
 
Inaungua kweli ndio maana inanuka kaka kawaida PC processor inazalisha joto sana hivyo imetengenezewa cooling system ambayo inakua na fan,paste na cooling pipe yenye helium gas ndani kama ya fredge
Huu mfumo usipofanya kazi vizuri au processor ikiover work joto linazidi kiwango that why unahisi inaungua
Vitu vinavyosababisha overheating ni
Kuziba sehemu za pc kutoa hewa kama kutumia ikiwa kwenye godoro au kitu chochote ambacho sio kigumu
Vumbi linasababisha feni kutozunguka vizuri
Paste gundi kwenye processor umekula
Virus wanafanya processor ku overwork
Feni imekufa
Jaribu kutatua marahisi yanaweza kumaliza tatizo lako kama bado likiwepo hayo magumu muone fundi yeyote wa computer atakusaidia
 
Jaribu KVD wapo posta nyuma ya bilcanas kuna round about ambayo kuna shell ya puma kvd ni opposite na shell
 
Back
Top Bottom