Kwa mujibu wa wataalam wetu wanasema kwamna treni ya umeme ina kasi sana.. Je inatumia vp huo umeme kuwwza kufanya kazi.
1 inatumia umeme kutoka nje? Kama ilivyo majumbani... Na je umeme...
Dell laptop imegoma kuwaka na wala haipitishi chaji. Nilitumia majuzi hadi ikaisha chaji na kuzima kabisa.
Sasa leo nimejaribu kuchomeka chaji yake, taa inaonyesha kama chaji inapita lakini...
Natumia Toshiba..ina RAM 2gb, processor 2ghz na harddisk 320GB, zaidi za 160gb zipo free, lakini cha ajabu siku za karibuni imekuwa slow sana...karibia kila program inastack, naomba msaada wenu...
Wadau yamenikuta mwenzenu nilikua nikiambiwa sana kuhusiana na adsense kufingia account za africa na especial zinazotegemea traffic ya facebook sasa hatimae yamenikuta wamelamba account yangu...
Kiukweli ni lugha ambayo niliitamani na pia naipenda sana!! nna hamu nifike mbali hasa katika software development za simu au komputa!! je mdau uliye soma java, ulisomaje ukai master? je nisome...
Nina sim aina ya tecno y3 baada ya kuanza tatizo la kuwaka na kuzima bila kumaliza nikaamua kui flash baada ya kui flash nikaja kugundua ile sticker ya imei number kuna baadh ya imei...
Habari wakuu!naomba msaada juu ya samsung galaxy s3 ambayo nili upgrade kutoka android v4.0 kwenda4.3via odin ila baada yakumaliza inanimbia "emergency call only"na inafull signal na ukifanya...
Heshima mbele kwenu wakuu.
Hapa mkononi nina hiyo modem ya airtel wingle E82321.
Naombaa mwongozo jinsi ya kuifanyaa hiweze suport line zote.
............
Inafungukaa na browser
Habari wakuu.
Nina simu yangu Sumsang pocket S5300 inatatizo Kwenye upande wa kupigiwa simu, mtu akinipigia Namba yangu inatumika muda wote, nikiweka line yangu Kwenye simu nyingine inapatikana...
Habari za jioni wakuu .laptop yangu hard disc imekufa ghafla .pc inaniandikia no bootable device. Nimeiweka kwenye PC nyingine pia imegoma.sasa shida yangu kubwa file za ndani walau nizipate alafu...
Habari Jamii technology.
Kwa anaefahamu naomba anisaidie kuelewa ni nini-
Laptop yangu aina ya Acer Aspire window 8 imegoma kuwaka na imechemka sana, mara ya mwisho kuitumia ilikuwa ni jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.