hero7
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 222
- 70
Habari wakuu!naomba msaada juu ya samsung galaxy s3 ambayo nili upgrade kutoka android v4.0 kwenda4.3via odin ila baada yakumaliza inanimbia "emergency call only"na inafull signal na ukifanya manual network search inaleta mtandao but ukiselect inakupa bado emergency call only na kabla sijaupgrade ilikuwa inafanya kazi vizuri,msaada wakuu.nawasilisha