System username and password

jofujulius09

Senior Member
Mar 9, 2017
105
50
Hbr yenu wakuuu!!
Kam kichwa cha hbr kinavyojieleza apo.
Kuna system nimedownload apa naingiza username and password nilizozikuta kweny link ambako nmedownload but zinagom.
Kwahvo nilikuwa naombe. Msaada hakuna njia ingine naweza tumia niweze ku login as admin wazee??
 
Ni system ya aina gani?
 
Imetumika css kidg html na java kwa wingi
Hiyo ni web based na lazima imetumika php hapo na itakuwa inatumia MySQL database.

Umetumia Database server ipi? Na umeangalia kwenye login form , action file ni ipi . hapo ndipo unaweza kuona Variable za database connection. Unaweza kuweka zile za default " LOCALHOST", "ROOT"
 
Database server ni xamp
maana yake hyo system ni PHP mze
 
Hiyo ni web based na lazima imetumika php hapo na itakuwa inatumia MySQL database.

Umetumia Database server ipi? Na umeangalia kwenye login form , action file ni ipi . hapo ndipo unaweza kuona Variable za database connection. Unaweza kuweka zile za default " LOCALHOST", "ROOT"
Action file cjaelewa apo ndio nin bro
 
Action file cjaelewa apo ndio nin bro
Chukua hiyo file/page ya kuLogin, ifungue na dreamweaver ( ili line zijipange vizuri usifungue kwa notepad) .

Ukishafungua Search hiyo FORM ya kuLogin. Mwanzoni kabisa kwenye form utaona maneno kama
<form id="form name" action="actionfile.php"/>

Sasa utaingia kwenye zile files za hiyo system na kuitafuta hiyo actionfile.php

Ukifanikiwa kuipata utaifungua pia kwa dreamweaver na kutafuta variables za connectio

Mf. MySql_Connect (databasename, username,password)
 
Aaaah ok nimekusoma baada ya hapo nafanya nn?

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Ukiziona hizo username na password

mfano:
$username=$_POST["UserName"];
$password=$_POST["Password"];
$con = mysql_connect("localhost","root","");

Hapo inamaanisha Username ni "root" na password ni blank yaani hakuna password. jaribu kuingina na hizo details utakazozipata kwenye file hilo kwenye login page yako.

ikishindikana fanya hivi:
Kwenye hiyo hiyo ACTION FILE angalia ni table gani inayokuwa SELECTED kwaajili ya kuangalia USERS and PASSWORDS halafu ukishaijua hiyo table ya USERS
Ingia kwenye XAMPP > table ya Privileges (Users) angalia users waliopo hapo na unaweza ku Add jina lako na password yako.

angalia hapa: Hapo kwenye rangi nyekundu hiyo ndio jina la TABLE yenye USERS

$sql="SELECT * FROM user where UserName='$username' and Password='$password'";
$result = mysql_query($sql, $link) or exit('$sql failed: '.mysql_error());
$num_rows = mysql_num_rows($result);
if($num_rows==0){
header("Location: error.htm");
}
else
{
header("Location: logged.htm");
exit;
}
mysql_close($link);
 
Hbr yenu wakuuu!!
Kam kichwa cha hbr kinavyojieleza apo.
Kuna system nimedownload apa naingiza username and password nilizozikuta kweny link ambako nmedownload but zinagom.
Kwahvo nilikuwa naombe. Msaada hakuna njia ingine naweza tumia niweze ku login as admin wazee??
Pia ni vizuri ungetuletea na ujumbe unasomekaje baada ya kugoma
 
Back
Top Bottom