vicentkisenya
Member
- Nov 11, 2015
- 25
- 5
Nina sim aina ya tecno y3 baada ya kuanza tatizo la kuwaka na kuzima bila kumaliza nikaamua kui flash baada ya kui flash nikaja kugundua ile sticker ya imei number kuna baadh ya imei hazionekani,Naomba nisaidiwe jinsi ya kupata imei za sim yangu kama kuna njia nyingine.