msaada: roaming connection from moderm

zeromagic

Senior Member
Sep 14, 2016
186
67
wanajamvi, nina tatizo la roaming connection kupitia moderm. modern inabadilika rangi inakua kijani mkoreo, speed inapungua inakua about 1kb/s. dashboard inaandika R, ukiwa unaistart dashboard inakwambia 'roaming data'. hii condition inaweza kuchukua siku nzima ndo inapotea automatically. msaada kuondoa hii roaming data kwenye window10
 
nenda setting kaitoe hio roaming, au search network manual then chagua mtandao unaotaka na sio unaochaguliwa
 
tatizo sijui pa kuitolea hyo roaming kwenye settings. na sijui pa kuchangua mtandao. naomba unielekeze mkuu
 
mkuu ni ZTE modem vodafone k3565-Z
fungua software ya modem yako, halafu click tools au option halafu click network.

kutafunguka kitu kama hiki
2011-08-11_133055.png

click hapo kwenye regristration mode kama utaona roaming untick kama hutaiona nenda manual search then itasearch network subiria kama dakika moja hivi itakuletea list ya mitandao yote, chagua mtandao husika unaotaka.

hapo itatoka roaming, ila ubaya wa manual search ni kwamba network ikikatika mara kwa mara itakuwa inakuletea pop up za kuchagua upya mtandao.
 
shukran mkuu
 
Back
Top Bottom