Watalaam wa window installation pls msaada

slimdaddy

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
531
481
husika na kichwa,nlikuwa naplay game ya gta xax ikasumbua ikanibid niformatt hard d na kuinstall window7 ultmate lkn kwa sas nikifungua ile game ya gta inanambia can not find enough available video memory naomba msaad juu ya hilooo tafadhali ntashukur nikifanikiwa
pia na sound driver nliifut bahat mbaya xax nliobaki nayo imecorrupt
nategemea msaad wenu if posble
 
Jaribu kuinstall driverpark soln, itaweza kurudisha needed drivers zote
 
cna hiyo driver pack wawez nisaidia namn ya kuipat
Kama una access ya internet, unaeza download particular drivers unazohitaji, swala la game linahitaji enough memory(ram), graphics driverd, na compatible processor ya hiyo GTA
 
Download drivers through internet...kwani unatumia brand gani ya Computer...
Pia ongeza RAM kwenye hiyo pc yako.
 
Kama una access ya internet, unaeza download particular drivers unazohitaji, swala la game linahitaji enough memory(ram), graphics driverd, na compatible processor ya hiyo GTA
mana mwanzo nlikuwa na ply vizur tu,so hapo nianze na kip kudownloa
 
ukiona mashine yako inazingua tumia hata ya mtu kisha download driver park solution then iburn kwa cd or iweke kwa flash yaan hyo ndyo mpango mzima
 
Hiyo memory ni ukubwa wa graphics card ya PC yako na pia ili ifanye kazi to its full potential lazima VGA drivers ziwe installed
 
Back
Top Bottom