The System Thread Exception Not Handled

startergear

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
1,061
1,338
kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza ni wiki ya pili sasa pc yangu inaji restart na kuandika maneno hayo hapo juu. Kwa mwenye uelewa tatizo hili nitalimalizaje? na sababu yake ni nini?
Natanguliza shukrani!!
system.jpg
system.jpg
 
kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza ni wiki ya pili sasa pc yangu inaji restart na kuandika maneno hayo hapo juu. Kwa mwenye uelewa tatizo hili nitalimalizaje? na sababu yake ni nini?
Natanguliza shukrani!!View attachment 496030 View attachment 496030

Hiyo Error inatokea zaidi kwa wendows 8 , 8.1 hapo kuna Tatizo kwenye OS, aidha umeInstall Drivers zenye conflict au umeInstall OS yenye shida kwenye files zake.

Solution:
ikifanya hivyo iache iende hadi 100% usiilazimishe kuizima.
Iwashe tena, ikileta hiyo error iache izime yenyewe usiilazimishe
Iwashe tena hadi ikubali kuwaka, halafu Uninstall Software/driver yoyote uliyoiweka hivi karibuni.
Halafu Fanya REFRESH yOUR PC
 
Back
Top Bottom