Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,431
Kiukweli ni lugha ambayo niliitamani na pia naipenda sana!! nna hamu nifike mbali hasa katika software development za simu au komputa!! je mdau uliye soma java, ulisomaje ukai master? je nisome vipi ili niwe mzuri kwenye java?
Nijifunze nini cha ziada niweze kuwa compitent software(java) developer?
Nijifunze nini cha ziada niweze kuwa compitent software(java) developer?