Habari zenu jukwaani,
Naomba wajuzi na mafundi wa solar wanieleweshe, nataka kufunga Solar sehem ambayo matumizi yake ni kama ifuatavyo:-
1-mafeni mawili ya solar
2-taa 8 za solar
3-Amplifier ya bomba la watts 80 AC lkn ina option ya DC.
So nataka kujua ninunue
-Panel ya watts ngapi?
-Battery ya ukubwa gani ... 100 Ah au 200 Ah au ngapi?
-Regulator ya size gani?
Nitashukuru sana nikipata ufafanuzi,
Ahsanteni