TUJADILIANE JUU YA TRENI YA UMEME

Ok9

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
4,542
4,117
Kwa mujibu wa wataalam wetu wanasema kwamna treni ya umeme ina kasi sana.. Je inatumia vp huo umeme kuwwza kufanya kazi.
1 inatumia umeme kutoka nje? Kama ilivyo majumbani... Na je umeme ukikatika inakuwaje?
2 inatumia genereta za ndan ya engine?
3 au inachajiwa then inaendea tu?
Ni kwa namna gan inajiendesha?
 
Google, youtube n.k.
Mana wajuzi wameuchuna au tuseme hawapo.
 
Back
Top Bottom