the event
Member
- Nov 7, 2013
- 83
- 20
Wadau yamenikuta mwenzenu nilikua nikiambiwa sana kuhusiana na adsense kufingia account za africa na especial zinazotegemea traffic ya facebook sasa hatimae yamenikuta wamelamba account yangu ikiwa na kama $148 ,,,asanteni adsense mmeniliza leo
Wadau naomba mmbadala wa adsense tafadhali nataka nianze maisha mapya usiku huu huu tafadhali,na katika ushauri wenu zingatien kua 90% ya traffic yangu facebook na traffic zangi zinatoka usa,uksouthafrica,canada kenya na bongo kwa sana...na blog yangu ni ya mambo ya dating na haina matusi matusi wala picha za ajabu
Naombeni ushauri wenu soon as posible nianze maisha mapya maana blogging ndio maisha yetu vijana wa town
nawasilisha::
mazagazagaa pamoja na wakongwe wengine nategemea ushauri wenu