wakuu naomba mwenye kujua jinsi ya kureset password kwenye wi-fi router ya vodafone anisaidie nimeinunua kwa mtu (teja) na iko protected msaada kama naweza kutengeneza new password
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.