Laptop yangu ya dell haipitishi chaji.

medisonmuta

JF-Expert Member
Oct 10, 2014
2,387
1,397
Dell laptop imegoma kuwaka na wala haipitishi chaji. Nilitumia majuzi hadi ikaisha chaji na kuzima kabisa.
Sasa leo nimejaribu kuchomeka chaji yake, taa inaonyesha kama chaji inapita lakini kwenye laptop haioneshi kama betri inaingia chaji.
Nimejaribu kuchomoa betri na kuichaji bila mafanikio. Nashindwa kuelewa tatizo linaweza kuwa ni nini kupelekea hadi pc kuzima ghafla?
 
Back
Top Bottom