Natafuta kioo cha mo TV mo electro

jew boy

Member
Dec 29, 2016
52
35
Kama tittle inavyosema hapo juu natafta kioo cha flat screen yangu inch 32 kampuni ni mo electro...nipo Arusha
 
Jaribu kupitia maduka ya Vifaa vya Electronics mfano Benson & Company au Sound & Vision hapo Arusha mjini au hata maeneo yanayozunguka Stand Kubwa....Ulizia huko, huenda ukapata
 
Kama ni TV ya mtumba basi ujue ni ngumu kupata spare na kama ni hizi brand kama singsung,tcl au sansan basi pita kwa mafundi.
 
Jaribu kupitia maduka ya Vifaa vya Electronics mfano Benson & Company au Sound & Vision hapo Arusha mjini au hata maeneo yanayozunguka Stand Kubwa....Ulizia huko, huenda ukapata
Asante ngoja nijaribu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom