Msaada: App zipi ni nzuri baada ya kuroot simu yangu

Naomba mwenye kujua antvirusi nzuri ambayo ni kwa rooted android ambayo itawezesha ku track na hata MTU aki factory reset bado unaweza track sim!!,
Zaman avast walikuwa nayo rooted ila Siku hizi sizion, kuna ingine ilikuwepo android lost...ila Siku hizi haina chochote
 
Back
Top Bottom