Msaada tutani:hard disc imekufa

Msaada tutani:hard disc imekufa

zwenge ndaba

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
2,039
Reaction score
3,613
Habari za jioni wakuu .laptop yangu hard disc imekufa ghafla .pc inaniandikia no bootable device. Nimeiweka kwenye PC nyingine pia imegoma.sasa shida yangu kubwa file za ndani walau nizipate alafu niizike tu.kwa anayejua njia ya kupata hizo file au mafundi wanaoweza kwa dar naomba anijulishe
 
Unataka uzipate vipi sasa wakati tayari ishakufa
 
Back
Top Bottom