Simu yangu inatatizo, nahitaji msaada

Ally maganga

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
1,433
913
Habari wakuu.
Nina simu yangu Sumsang pocket S5300 inatatizo Kwenye upande wa kupigiwa simu, mtu akinipigia Namba yangu inatumika muda wote, nikiweka line yangu Kwenye simu nyingine inapatikana Kama kawaida.
Hivyo mwenye idea ya hili tatizo naomba anisaidie
 
Nenda kwenye call setting ingia kwenye reject mode utaona kuna sehemu imeandikwa all numbers toa tiki hapo weka kwenye numbers,
Ukiweka kwenye numbers itakuwa ni zile tu ambazo utaziweka call reject ndio zitakuwa zinaambiwa namba inatumika
Hapo ulipoweka ww kwenye all numbers inamaana namba yoyote itakayokupigia itaambiwa namba yako inatumika
 
bofya sehem ya kupgia simu then bonyeza batani ya chini upande wa kushoto ukitoka bach,hom then inayofata chini utaona wameandka call setting uki click angalia call rejection then bonyeza weka auto reject number
 
Back
Top Bottom