Nathd
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 290
- 210
Habari Jamii technology.
Kwa anaefahamu naomba anisaidie kuelewa ni nini-
Laptop yangu aina ya Acer Aspire window 8 imegoma kuwaka na imechemka sana, mara ya mwisho kuitumia ilikuwa ni jana usiku ambapo baada ya kumaliza kuitumia niliiweka kwenye charge na Ilipoonesha kuwa imejaa niliitoa na sikuiwasha tena. Ila sasa leo asubuhi naiwasha cha ajabu imegoma kuwaka, nimejaribu kuchomeka charger ili nione kama labda itaonesha mwanga kwamba ipo hai lakini hakukua na response yoyote ile, na nilipoishika niligundua kuwa imechemka sana.
Ila ni kwamba hiyo Jana nilipokuwa nikiitumia ilikuwa ikigoma goma kisha kujizima na kuji restart yenyewe huku ikinipa notification kuwa 'windows are underperforming hivyo inahitaji kuji restart ili kusolve tatizo'
Nilijaribu kuapdate window na baada ya hapo ikaendelea kuwa vizuri mpaka hapo nilipomaliza kuitumia.
Sasa sielewi kwamba-
ndo imeungua hivyo? Au tatizo linaweza kuwa nini? Wataalamu naombeni mnisaidie kwa hilo tafadhali
Inamiezi minne tangu niinunue ikiwa mpya dukani