Ivi ni program gani nzuri kwenye PC za Mac ambazo ni bure maana kila kitu naona kinauzwa

That's why siwezi kununua pc ya mac, simu aina ya iphone wala simu yenye windows.

Kwa simu nitakayo tumia lazima iwe android.
Kwa computer lazima iwe windows.
Vinginevyo ni majanga tu.

Kwa windows ktk Pc applications za kutosha na free pia karibu kila gemu kubwa linalotoka kutakuwa na pc version yake.

Na android ktk simu unajipakulia applications za kutosha ambazo ni free na nzuri & magemu ya kutosha
 
Mac kwa Tz ni utumwa, hizo zimeundwa kwa ajili ya 1st world. Kila kweli tu ni cha kadi na unanunua kwa $. Mm nina iGadgets daaah yani bs tu
 
That's why siwezi kununua pc ya mac, simu aina ya iphone wala simu yenye windows.

Kwa simu nitakayo tumia lazima iwe android.
Kwa computer lazima iwe windows.
Vinginevyo ni majanga tu.

Kwa windows ktk Pc applications za kutosha na free pia karibu kila gemu kubwa linalotoka kutakuwa na pc version yake.

Na android ktk simu unajipakulia applications za kutosha ambazo ni free na nzuri & magemu ya kutosha
Yani kaka acha tu nashindwa ata nifanyie nn hii PC app zinauzwa lak 6 bei PC mpya
 
That's why siwezi kununua pc ya mac, simu aina ya iphone wala simu yenye windows.

Kwa simu nitakayo tumia lazima iwe android.
Kwa computer lazima iwe windows.
Vinginevyo ni majanga tu.

Kwa windows ktk Pc applications za kutosha na free pia karibu kila gemu kubwa linalotoka kutakuwa na pc version yake.

Na android ktk simu unajipakulia applications za kutosha ambazo ni free na nzuri & magemu ya kutosha
Umeongea ukweli mkuu
 
App nzuri kwajili ya kuedit video na app ya ku tream live
mimi huwa natumia torrents kuna app nyingi tu ziko available kwenye site kama piratebay na extratorrent ila kikubwa ukitaka kutumia torrents download kwanza VPN kwenye pc yako na uiweke ''ON'' kabla ya kuvisit hizo sites.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom