TATIZO LA DVD PLAYER

TATIZO LA DVD PLAYER

jayec

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2017
Posts
599
Reaction score
477
Nina DVD player yenye tatizo la kutoa nje DVD/CD wakat haujairuhusu.Msaada tafadhal
 
Nina DVD player yenye tatizo la kutoa nje DVD/CD wakat haujairuhusu.Msaada tafadhal
Inatoa disc zozote au baadhi? Inatoa mara unapoweka tu au inachukua muda.?
 
Je ni z0te kma n zote tatizo ni mkanda wa kwenye m0ta utakuwa umeisha au men0 ya mlango
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom