Wakuu iphone 6 yangu inagoma kuupdate to ios 10.3.1 tatizo linaweza kuwa nn? Mana nimejaribu zaid ya mara 3 inaanza kudownload ila ikitembea kidogo inaleta message ya error
Guys, salaam!!!
Huu mjadala nauleta hapa manake baada ya kupitia michango mbalimbali huko kwa wenzetu ni kama hakuna jibu sahihi la which is which kwahiyo ningependa kupata maoni ya Kibongo...
Nina imani hili jamvi limebeba kila aina ya wataalamu . Nina tv yangu aina ya TCL SMART , nashindwa kuunganisha internet ili niweze kuperuzi vitu mbalimbali .
Naomba msaada wa maelekezo.
Hii ni smart Tv aina ya Samsung 6 series
Kwa wale wataalamu naOmba mnisaidie kunielekeza jinsi ya kuweza kuunganisha internet kwenye tv hii ili niweze kuangalia mpira kwenye hii tv maana naziona...
HABARI wana jamvi humu..?
Ebana mimi nimekuwa nikijiuliza hili swali kwa miaka mingi japo sikubahatika kusomea mambo ya kumputer ila nilisomea mambo mengine ..lakini nimefanya utafiti binafsi...
Je umekwisharoot Android device yako (Smartphone/Tablet)
Topic za Android Rooting imekuwa zikijadiliwa sana hapa jukwaani. Lakini mtu anaweza akawa amesharoot simu yake lakini asifahamu kwamba...
Nipende kujumuhika nañyi wana jukwaa kupongezana kumaliza mfungo mtakatifu na heri ya Pasaka.
Nina shida ya kupata blog ama namna ya kuanzisha blog, kama yupo anayeweza kunisaidia ntafurahi ili...
Satellites unaweza kuleta ishara digital kwenye maeneo
ambapo Internet inaonekana kama miujiza:
off-gridi-jangwa mashamba ya jua, Arctic
au ndege carrier baharini. Lakini katika beaming
data na...
Jamani page yangu ya instagram nikimfollw mtu au akinifollow ina goma yaani ukituma request au ukitumiwa request ukitaka ijibu inagoma sjajua marafiki ndio wamejaa au nifanyeje
Wadau, habarini za kwenu? Kama tittle ilivo, nimepasua display yangu ya samsung ace j1 so kioo kama kimevujia wino ndani.. So natafuta kioo(display) hii simu.. Please kwa mawasiliano ni 0719058458
Ng'ombe hazeeki maini. Kampuni ya BlackBerry inatarajia kurudi tena sokoni kwa kuzindua Smartphone yake ya BlackBerry Keyone ambayo itakuwa na vitufe vya QWERTY na itatumia mfumo wezeshi...
Wakuu sijui ni kwangu tu au na kwenu pia, yani speed ya huu mtandao imekua zaid ya konokono.
Yani hata kufungua picha za instagram ni shida,huko YouTube ndo usiseme mpk nimeamua kushusha quality...
Nikirun hizi code...
def break_words(stuff):
"""This function will break up words for us."""
words = stuff.split(' ')
return words
def sort_words(words):
"""Sorts the words."""...
Habarini wana JF wote. Poleni na majukumu ya kujenga familia na nchi.
Wakuu natafuta HTC HD2 ikiyokufa au nzima. Pia natafuta kioo cha Toshiba Satelite C660 pamoja na keyboard yake.
Nawatakia...
Habarin waungwana, nna computer yangu aina ya Hp, ilikufa harddisk tukaweka nyingine. Tatito ni kwamba tangu iwekwe hiyo hard disk ingine imekuwa hain sauti. Nimejaribu nimeshindwa. Nimeomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.