{Miniclip's 8 ball pool}

mats_

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
398
296
The best online pool game in the entire world yet,
Nimekua nikicheza hili game kwa muda mref sana sababu n zur sana na ni real,
lengo la kuweka uzi huu ni kwa wale ambao ni ma fans wa hili game, naomba tukutane apa maana huu ndo uzi wetu, tupeane usernames ili tueze kuongezana kama marafiki kule kwnye ulimwengu wetu wa pool kwale tulioko , zile trick shots na maujuzi mengine, jinsi ya kumfunga adui bila ye kugusa kete ata moja,

Android application ipo na ni 8 ball Pool Miniclip
 
65863c92d81c66a3642ed1aef11cce64.jpg


yangu me iyoo
 
Mimi huyo bado napambana
 

Attachments

  • Screenshot_20170429-175215.png
    Screenshot_20170429-175215.png
    218.3 KB · Views: 74

Similar Discussions

Back
Top Bottom