pipikijiti
JF-Expert Member
- Apr 25, 2017
- 309
- 406
polen na kaz wakuu kuna tecno l8 hapa inazingua... yan niliirestore sasa inapoanza upya,kwenye primary settings pale mwanzo yan kuselect language unachagua vizuri,ikitoka hapo ileta page imeandikwa select wi-fi network hapo ndo kaz ipo sasa... ambapo kwa kawaida chini inaleta option mbili yan upande wa kulia kunakuwa na alama ‘< ’ yan back na upande wakulia skip sasa cha ajabu hapo option ya skip inakuwa domant yan hawez click kunakuwa na option moja tu ya back yan urud kwenye setting ya lugha... na hyo wi-fi inasearch tu hamna kinachoendelea...msaada tafadhari simu imenunuliwa mwez wa kwanza