Kiukweli hapa nina mzigo wa G'FiVe G10 fashion natafuta firmware yake lakin kulingana na kuwa hautaki kuwa installed ktk pc nikaona sio vyema ngoja niufungue nicheck chip gan unatumia?????
hapo ilipo cmu inawaka au?, kama inawaka hebu jaribu kuplug in kwenye pc then utaona ni drivers zipi zitakuwa installed. hyo simu ni android au generic?, kama ni android possibilit ni mtk au spd sasa jaribu kuread info kwa cpu zote hzo na kama ni generic jaribu pia kiread info.. by the way, tatizo la cmu ni nin hasa?
Kiukweli hapa nina mzigo wa G'FiVe G10 fashion natafuta firmware yake lakin kulingana na kuwa hautaki kuwa installed ktk pc nikaona sio vyema ngoja niufungue nicheck chip gan unatumia?????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.