Samsung smart TV 40" screen inahitajika na fundi pia

msumeno

JF-Expert Member
Aug 3, 2009
2,826
1,730
Assalama aleikum,

Waungwana sina mengi ila naomba sana mwenye kujua alipo fundi wa kutengeneza ( replace) screen za smart TV za samsung anisaidie ... maana yangu ilipasuka na kwa kweli nahitaji kuitengeza .... massalama.
 
wale jamaa wanauza screen ghali kweli kweli ni bora ununue tv mpya. nilikuwa na shida kama yako nilifika pale nikapiga break za mbele . ila nilimpata fundi wa pale. tukayapanga nje ya ofisi. nitakupa namba yake .
 
naomba namba yake inbox please.
 
wale jamaa wanauza screen ghali kweli kweli ni bora ununue tv mpya. nilikuwa na shida kama yako nilifika pale nikapiga break za mbele . ila nilimpata fundi wa pale. tukayapanga nje ya ofisi. nitakupa namba yake .
Naomba naomba yake na Mimi Nina shida nae
 
Back
Top Bottom