CMA:wanachelewesha hukumu sana!!

cheguevara

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,348
651
Habari,
Wadau leo wapo wafanyakazi ambao kesi/migogoro kati yao na serikali imeshasikilizwa lakini ni zaidi ya miezi mitatu sasa wengi hawapati maamuzi kwa kuzungushwa na hao waamuzi wa tume ya usuluishi pasipo sababu za msingi,serikali inawafukuza watumishi maramoja lakini CMA inawaadhibu tena kwa kuchelewesha maamuzi,Rais lione hili kuwe na kikomo cha muda wa kutoa uamuzi kwani watumishi wengi wa serikali wananyanyasika kwa kucheleweshewa hukumu pasipo sababu za msingi!!
 
Back
Top Bottom