Willy mayor
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 346
- 44


wakuu msaada wenu tafadhal coz mashine iligoma kufanya kazi ghafla yaani huwa inawaka tuu kwenye keyboard but display haioneshi chochote_ntafurah sana endapo nikipata motherboard ya hii mashine. Shukran