Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,259
- 1,053
Habari za majukumu wanajukwaa!! Kwa mara nyingine nakuja kweny jukwaa hili endelevu nikiomba msaada.
Ni hivi baada ya kujipinda na mie nikaweka chini chogo na kuvuta Samsung Smart TV model 4303.
Awali nilisoma pahali kuwa ukiwa na hii TV free channels zooote kama vile Clouds, e.tv, EATV etc utakuwa wazipata bila shida.
Sasa baada ya kufika nikachukua ki-antenna changu cha Star times nikafunga na ku-tune.
Hizo channels zooote zimekuja ila shida sasa zimekuwa scrambled.
Naombeni msaada wa jinsi ya kuzi-access hizo channels na zingine kama zipo.
Natanguliza shukurani