msaada wa haraka tafadhali

hamisi nondo

Senior Member
Aug 21, 2011
192
172
Wakuu nina huawei G610-U20 inajizima na kujiwasha hovyo nimejaribu kuirestore kawaida imegoma,,nikiwasha kwa kuhold volume down na bottun ya kuwashia ina vibrate tu laikin yale maandishi ya kurestore kwa njia hiyo hayatokei na wala kioo hakionyeshi chochote zaid ya mwanga tu,,pia kila nikifuta apps ikijizima na kujiwasha apps zote nilizofuta zinarudi tena,,msaada wenu tafadhal
 
Back
Top Bottom