byancas
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 268
- 248
Kila kukisha nasikia hawa wamefanya majaribio ya siraha za Nyulkia na kufanikiwa, sasa hayo majaribio yanafanywaje yaan? au kuna sehemu wanalipua huo kusikokuwa na watu na kuona wamefanikiwa au nataka kujua hilo Kombola la majaribio linaenda tua wapi? Na kama kuna sehemu linatua je hiyo sehemu ikoje?