MSAADA WA HARAKA UNAHITAJIKA.

texaz mc

JF-Expert Member
Jan 15, 2016
371
205
HABARI! Nauliza kwamba je kuna uwezekano wa kupata namba ya mtu aliye fb ambaye hakuiweka hadharani?
 
Duh... malovedave humu ni tech. Matatizo ya kiufundi. By the way kama mtu hajaweka taarifa zake public kwa FB ni ngumu kupata. Kama huna ugomvi naye mtumie meseji huko huko fb umuombe akupe.
 
Back
Top Bottom