Msaada pc ukiangalia video inaganda baada ya mda ka ina stream

Aidha format ya hiyo video haipo compatible na player unayotumia, au video yenyewe imecorupt.

Jaribu kutumia video player nyingine kama VLC au windows media player.

Jaribu kuplay video nyingine tofauti na hiyo inayoganda.
 
Its so sad natumia vcl bt karibu video zote zinanifanyia hivo afu ni hd daah
 
Haha boss halipo kwa windo player tatizo itakuwa vlc yang etii ehh
Basi vizuri mkuu, kuna format za video zinaplay vizur kwenye windows player lakini kwenye VLC zinaganda, kwa hyo inawezekana VLC yako iko vizuri lakini format ya video ndio haipo supported na VLC.
 
Dah inawezekana ila ngoja ni update nione
 
Kivip mkuu
Ingia hapa www.filehippo.com/download_driver-booster-free/

Pakua hiyo program kisha install na fanya kurun huku ukiwa connected kweny mtandao..itascan driver zako zote kisha itakwambia update all ..basi click update all kisha wait ita download drivers zilizo miss au outdated baada ya hapo itainstall kila kitu na ikimalza itakwambia reboot...ukisha reboot angalia tatizo lako limekua fixed au la
 
Shukran mkuu ngoja nifanye hivo
 
Hiyo computer yako ina GpU ndogo. Na wewe unaplay video za resolution kubwa.
Hili ndio jibu sahihi kabisa..nakumbuka nilikuwa na pc ya 32 bit na ram ya 512mb kila nikiplay video hd za 720p zilikuwa zinagoma na kuganda ganda..ila nilipobadili pc na kuchukua ya 64bit tatizo liliisha
 
Msaada pc ukiangalia video inaganda baada ya mda ka ina stream shida ni nn eti wakubwa
Tafuta Daum pot player, install ukiwa online itadownload codec plugin kwa ajili ya video zenye resolution kubwa, kama tatizo litaendelea hdd itakuwa mbovu au ina vumbi jaribu kuisafisha sehemu ya connector hili nimeishakutana nalo hdd ilikuwa mbovu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom