Natumia windows phone, nashindwa kuangalia video Instagram

Zanta

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
2,028
Reaction score
797
Wakuu,
Kwa wenye simu ya Nokia window phones...ni mwezi sasa siwezi kuangalia video iliyipostiwa instagram..maana ikifungua insta then post ikiwa ni video basi simu itajiondoa kwenye insta na kurudi kawaida. Sasa nauliza huli tatuzo ni kwa watu wote mnautimia Window phone? Na shida ni nini? Mwenye kujua please naomba msaada
 
mkuu update your phone kupata kitu cha windows 10 mobile uanze kuenjoyUWP
 
yap 6tag inaplay video. developer wote wakubwa wameachana na wp8 wamehamia windows 10 na kuna app mpya ya instagram ya windows 10 ambayo ni universal

Samahani chief nimedownload update advisory kwenye Microsoft Lumia 535 niliposearch for updates ikaniambia ipo update ya window 10.swali langu hivi nikiupdate itafuta Kila kitu eg applications, picha n.k?
 
Wakuu,
Kwa wenye simu ya Nokia window phones...ni mwezi sasa siwezi kuangalia video iliyipostiwa instagram..maana ikifungua insta then post ikiwa ni video basi simu itajiondoa kwenye insta na kurudi kawaida. Sasa nauliza huli tatuzo ni kwa watu wote mnautimia Window phone? Na shida ni nini? Mwenye kujua please naomba msaada
Hii instagram itakuwa inashida hata mimi tangu niupdate imekuwa na tatzo la kustuck nikifika kwenye video na mda mwingine inajiforce close. Natumia LG G2
 
Samahani chief nimedownload update advisory kwenye Microsoft Lumia 535 niliposearch for updates ikaniambia ipo update ya window 10.swali langu hivi nikiupdate itafuta Kila kitu eg applications, picha n.k?
kikawaida official update hazifuti vitu ila kuna wakati mara chache inatokea update inaweza kwenda vibaya itakubidi ufanye reset ili ikae vizuri hivyo unashauriwa kufanya backup kwanza. ila kwa wp mara nyingi onedrive inafanya backup
 
Asante chief
 
Nina hilo tatizo pia Mkuu natumia nokia 1320... Hiyo 6tags ni kwa windows 10 tu au ata kwa 8.1 inafaa maana niliupdate kwenda windows 10 ikawa inanizingua nikaachana nayo
 
Hata mm napata tatizo kama hilo natumia lumia 530 ambayo haina update
 
Daah.. Kumbe nilijua peke yangu... Nataka niachane na Window phone.. Mizinguo sana.
 
Nilikua na uchu sana wa kutumia windows phone lkn sasa mmh..bora nitumie tecno M3 kuliko any windows phone.. Complicated kinoma..sio rafiki sana mtumiaji
 
haiko complicated sema hatujui kuitumia..
 
Nilikua na uchu sana wa kutumia windows phone lkn sasa mmh..bora nitumie tecno M3 kuliko any windows phone.. Complicated kinoma..sio rafiki sana mtumiaji
Kama ww ni mtu wa bonyeza bonyeza simu kila wakati, windows phone itakuboa.. but sijui kwa wengine ila kwangu user interface yake iko poa.
 
Back
Top Bottom