SD CARD (write protected)

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
470
137
Wataalamu naomba nisaidiwe nina memory card yangu yenye vitu vyangu vya muhimu sana kila nikijaribu kuvitoa au kuviedit au kufuta naletewa ujumbe huu(write protected) nifanyenyeje kui recover sd card yangu?
 
Shida hii itakuwa inasababishwa na nini ili nichukue tahadhali siku nyingine
 
Ama kweli siku hizi wataalamu wa mambo haya wamechoka kusaidia, au labda hadi tuwafuate inbox?
 
Kuna kasehemu kimeandikwa "lock" na kaswichi kadogo. Hamisha hako kaswichi kutoka kwenye lock utakuwa umeifungua tayari kufanya chochote.
 
nafahamu sana jinsi ya kufungua.. hapo kuna mchezo wa 1 na 0 yaan memory au flash ikiwekwa security ya 1 inamaana imefungwa hivyo huwez kuingiza chochote wala ku'edit hapo ni kusikiliza na kuangalia tu.. mpaka ukabadilishe pale kwenye moja iwe 0 ndo inakuwa free kutumika...
NB: hizo zinafanyika kwa computer
 
HIYO 1 AU 0 INAANDIKWA WAPI SASA NA ILI KUIPATA NFANYEJE?
 
HIYO 1 AU 0 INAANDIKWA WAPI SASA NA ILI KUIPATA NFANYEJE?
Hii njia niliyotaja hapo juu ni ya kufanya manually. Yaani unaichomoa kadi kwenye kompyuta ndo unabadilisha hicho kiswichi.
56fbc248af791e78029be3ed67ea3902.jpg
df655be3bfe6cf630fae2540c77944bb.jpg
 
Mkuu tumia computer mbona hii kitu inatoka ila ni manually me mwenyewe week kadhaa hv ilinikuta na nikapata ufumbuzi humuhumu jamvini nikafanikiwa kuitoa kbsa sahz natumia memory yangu bila shida, kuedit doc na kuikopia mafaili.
 
Mpaka hapo bado sijaelewa yaani hebu nipe maelekezo hatua kwa hatua naanza na nini kisha nini pole kwa usumbufu
 
Hii njia niliyotaja hapo juu ni ya kufanya manually. Yaani unaichomoa kadi kwenye kompyuta ndo unabadilisha hicho kiswichi.
56fbc248af791e78029be3ed67ea3902.jpg
df655be3bfe6cf630fae2540c77944bb.jpg
kwani ni lazima utumie adapter kama hiyo uliyoweka picha mie nilikuwa natumia aina nyingine ya adapter mara nyingine kwenye simu
 
Nina muda mrefu sana na Jamiiforums sijawahi kushuhudia jambo likashindikana humu lbd wataalamu wakupotezee tu na hili naona ndo limenitokea mimi, nimeshidwa kupatiwa ufumbuzi kwa memory card inayoleta ujumbe wa write protected pale unapojaribu kufuta kitu chochote kwenye memory hiyo, nimejaribu kuiformat lkn hakuna. Hivyo narudi tena kuomba msaada, memory yangu ninaihitaji sana.
 
Njia zipo tatu mkuu..mbili zmeishakua discussed mbona hapa hapa...njia rahis kama una adapter ya memory card basi we weka memory kweny adapter yako kisha pemben ya adapter kuna kilock unaeza kuslide....sasa wewe slide ile lock ya adapter kuelekea juu hapo utakua umetoa tatizo lako..

Njia ya pili ni kwa kutumia registry hii ni ngumu kidogo kama ni mgen wa computer. Nakushaur tafuta adapter ndio njia rahis kwako
 
Kuna watu wanafunga memory kwa simu walizonazo ,ilinikumba hilo ni mpaka uweke kwenye simu uliyoifungia kisha uondoe hiyo protection mkuu
 
Back
Top Bottom