Msaada wadau. Najaribu kufungua email address yangu lakini nashindwa kwa sababu sina simcard niliyoitumia kuregister kwenye hii email address. Nikisign in, nafika sehem natakiwa kuingiza baadhi ya namba ya namba ya sim yangu ili nitumiwe code. Hii code ndio niitumie kwenye hatua ya mwisho ili email yangu ifunguke. Tatizo hii namba sinayo tena. Naombeni msaada nimehangaika sana na nashindwa kusoma email zangu ambazo ni muhim sana