Kuficha IP Adress

Kuficha IP Adress

Von G

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2015
Posts
243
Reaction score
247
Wadau naomba kuelekeza kwa anaejua ku hide IP adress nmekuwa nkidowloads softewares, series kwenye website za torrents kama Pirates bay, extratorrents ila kwa sasa siwez inanambia n hide Ip
Natanguliza shukurani
 
Hayo ni matangazo yao tu kwa Tanzania hakuna haja ya kuficha chochote.
 
Aisee..kwani ukidownload bila kuficha IP inakuajee
 
Mie napiga tu sijifichi wala nini kuweka bando la kutosha tu kazi yanini kuongeza kazi ya kujificha!!
 
Me mwenyewe walishaga nilitea hizo. Natafuta tu site nyingine.
 
Back
Top Bottom