Simu nzuri ila suala la betri lilinitesa sana...wataki wakuibandua niwekewe nyingine fundi hakuwa makini akaweka thinner sjui kitu gani ili gundi iliyoshika betri itoke mwisho wa siku kioo kikapata ukungu nikaingia hasara ya kununua betri then kioo,betri lenyewe bei juu toka hapo sitaki kuzisikia simu za kampuni hyo japo ni nzuri...ila usitishike jifunze kitu hapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.