Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 216
Habarini wakuu samahanini kuna tatizo linatokea kwenye simu yangu kuhusiana na picha ninazo save kwenye Gallery zinaharibika kama kuliwa na virus ivi yaani unaweza kukuta picha inaonekana nusu .nusu ingine imeliwa au haionekani kabisa inakuwa na kivuli cha rangi nyeupe au rangi nyekundu juu ya picha nimejaribu kuweka Antivirus kwenye simu bila mafanikio yoyote... Natumia tecno W3 naomba msaada wenu. Asanteni