Habari wanajukwaa, narudi tena kwa mara nyingine kuomba msaada kwenu experts wa haya mambo.
Simu yangu aina ya Huawei Y520 inagoma kabisa kuinstall baadhi ya application kama opera na wakati...
Wadau salaams..
Wataalamu wa satellite dish msaada tutani..
King'amuzi changu cha startimes ya dish Leo kimepoteza local channels zote mpaka tbc1.
Je ni tatizo la Decorder yangu tu au ni kwa...
Habari wana JF, Karibuni tena kwa mara nyingine kwenye makala nyingine mpya kutoka Tanzania Tech, Leo tutaenda kujifunza njia hii ya kutumia kompyuta kwenye smartphone yako ya Android au iOS. Njia...
Wakuu nataka Nimpeleke dogo kwenye Driving je Kwa Vyuo kama VETA-Chang'ombe au NIT itamchukua Mda gani Kuhitimu?
Wapi bora kati ya NIT na VETA?
Je Ada bei gani kwa Course hizo za Driving za...
Salaam, Wadau kuna radio moja inapatikana Dar es salaam inaitwa Praise power radio, nafikiri haina coverge kwa mikoa ya nje ya dar es salaam, Nauliza ni kwa namna gani ninaweza kupata access ya...
!
!
Ni lisaa la pili hili imeandika tu tecno halafu hakuna kinachoendelea. Nimefungua nyuma nitoe betri na kwenyewe kumefungwa betri kulitoa haiwezekani.
Naambatanisha na picha nikitumaini...
habar wanajamvi??
kichwa cha habar hapo nashindwa kabisa kubadili storage kutoka kwenye simu adi kwenye memory card simu yangu ni samsung galaxy j3(6) duos
msaada wanajf
Wakuu heri ya mwaka mpya. Naomba mnisaidie kwa ambao walishanunua vitu online kupitia hiyo ebay, vinachukua mda kufika tz? Inatumwa moja kwa kupitia Posta ama inatumwa kama parcel? Niliagiza...
Wachumbatz.co tz
Kwangu mm naona ni application mbovu sana kutengenezwa nchini sababu
1:Ukipoteza password hadi uwapigie simu
2:Hakuna option ya Ku recovery password
3:aina mvuto ipo bored sana ni...
wakuu habari za wakati..kama kichwa cha thread hapo juu kisemavyo..naomba mwenye serial key ya game la footbal manager mwaka 2017 anisaidie.au anielekeze jinsi ya kuzipata online kwa free...
Wana jf copyuta yangu imegoma kujiconect na modem, inaditect ila nikikonect inaniambia kuwa "a connection to a remote computa..... Na maelezo mengine", nime unstall na ku install upya ikagoma...
Hi! wana jamvi
Anaejua mataizo ya bootlooping kwa lg please
Maaana na mpango wa kununua v10 ila sikia ina fanya bootlooping
Kwa watumiaje wa v10 je mmexperience hii kitu?
Habarini wa kuu wa jamvi natatizo mm ni wakala wa halotel tatizo lang ni kwamba laini yangu ya halotel ina nipaga wakati mgu sana hii ya kusajilia line kwenye kupandisha network I mean 3G ama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.