vicentkisenya
Member
- Nov 11, 2015
- 25
- 5
Nina sim aina ya huawei ambayo inatumia lain ya tigo only kuna siku nilipeleka kwa fundi ili nipate huduma ya ku unlock ili itumie mitandao yote! Baada ya fundi uyo kushindwa kuitengeneza imekataa kusoma lain ya tigo na nikiweka lain ya tigo inatoa ujumbe huu kama kwenye hii picha apo chini!Nilikua naomba mnisaidie isome mtandao wake wa tigo bas.