nyanga kante
Member
- Jan 7, 2017
- 36
- 34
Tatizo la samsung galaxy A5 kioo kubadilika rangi pindi unapokua umepress powerkey kuwasha mwanga na kuona rangi imekua kama kioo kimearibika. Kisha unapoweka lock tena na kutoa kioo kinarudi katika hali yake na tatizo hili linakuja kwa wastani wa mara moja kwa mwezi! Ni tatizo gani hili naomba kufaamishwa