kwetugt
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 273
- 233
Kama maada inavyosema mie nina simu yangu Huawei ascend G7 ilikua ikionyesha pindi nikidownload sijui niliigusa wapi mpaka sasa haionyeshi tena lakini downloads inafanya kama kawaida tatzo ilekujua imefikia hatua gani haionueshi mpaka nisubiri ndio niingie kwenye download niangalie kitu kama Kimeingia naombeni msaada wakuu najua ni mie ndio nimeifunga ila sijajua ni sehemu ipi maana nilifanya bila kujua.