Asante kwa ushauri ila bahati mbaya sikusave kwenye gmailKama ulizisave kwenye Google Email utazipata Sign upya akaunt yako ya google.
Namba za simu pamoja na Emails unaweza kuzipata lakini siyo messages za kawaida.Naombeni msaada. Nimefanya nimefanya factory reset kwenye simu bila kujua consequence zake. Kuna namba za phone book na few msg muhimu, ni namna gani naweza zipata?
Natanguliza shukrani zangu