Habari za mda huu wakuu kuna vitu nilikua nahitaji kujifunza kupitia kwenu au hata kujifunza pia.Nahitaji kua design wa matangazo ya picha na video pia kwa yeyote mwenye msaada wa wapi kwa kuanzia au ushauri nakaribisha ushauri wake
Pia waweza ni whatsup 0625888090
Pia waweza ni whatsup 0625888090