Achukue laptop gani kati ya hizi?

2in1

JF-Expert Member
Mar 29, 2014
211
79
Wakuu hbr za mida, kuna mtu anaomba ushauri wa manunuzi kati ya hizi PC

hp probook 6555b
Internal storage 230gb
RAM 2GB
Tsh 180000/=
52531ebaeafd42d13fc1e2f830e23b3a.jpg

Acer
Internal storage 300gb
RAM 4GB
Tsh 300000/=
c9eb4f832279b60da623ecf023278e28.jpg
 
zote ni vimeo mkuu ila kama ni kuchagua,

hio ya 180,000 ndio nzuri usidanganyike na ram sababu zinaongezeka, hio turion ina nguvu mara tatu ya hio amd.

hapo ongeza 20,000 nunua ram 2gb ongeza kwenye hio intel ili nayo iwe na 4gb gharama itakuwa 200,000 sasa.
 
zote ni vimeo mkuu ila kama ni kuchagua,

hio ya 180,000 ndio nzuri usidanganyike na ram sababu zinaongezeka, hio intel ina nguvu mara tatu ya hio amd.

thanks bro,noticed
 
mkuu akichukua hiyo hp, unaweza kutusaidia mahali pa kwenda kuongeza RAM iwe 4GB?, nipo dar chief!
 
mkuu kariakoo wengi wanabadili, mtaa wa likoma lilipo kanisa la kkkt unapajua? kuna duka linaitwa awale, ukifika hapo unaweza ukauliza au kuna corridor unaweza ingia ndani kuna jamaa wanabadili, na hapo hapo mtaa wa nyuma kuna jamaa wanauza ram za 2gb kwa 15,000
 
shukrani mkuu napajua hapo palipo na kanisa , halafu chief mbona processor zote zimeandikwa AMD lakini naona umenambia hiyo ya hp ni processor ya intel !!!
 
mkuu kariakoo wengi wanabadili, mtaa wa likoma lilipo kanisa la kkkt unapajua? kuna duka linaitwa awale, ukifika hapo unaweza ukauliza au kuna corridor unaweza ingia ndani kuna jamaa wanabadili, na hapo hapo mtaa wa nyuma kuna jamaa wanauza ram za 2gb kwa 15,000
Duka linaitwa kaale
 
Back
Top Bottom