Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Matumizi ya Teknolojia yameshika kasi sana katika ulimwengu huu na imekuwa ni chanzo cha kutatua baadhi ya changamoto mbali mbali zikiwemo kubwa na ndongo ambazo kimsingi zimekuwa zikizisumbua...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Imekua kawaida kulipia kifurushi kulipia ksumbuzi kila mwezi bila kuangalia uhalisia kuna kipindi kirefu unakua hauko maeneo ya nyumbani na wakati mwingine hakitazamwi kabisa na baada ya mwezi...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Fahamu yanayoendelea kwenye technology kwasasa na uvumbuzi wa google. Mungu atusaidi tufike huku siku moja.
3 Reactions
0 Replies
1K Views
natanguliza heshima kwenu wadau..ninaomba msaada wa keys za window 8.1 pro nilizokuwa nazo zimexpire
0 Reactions
2 Replies
818 Views
habari zenu wadau,ninaomba msaada mwenye kuzijua links za kuangalia mechi za mpira kwa kutumia mx player aniwekee hapa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari za majukumu natumaini mpo poa? Kama kichwa cha habari kinavyosema,nimereset simu yangu sasa baada ya kureset tu nikitaka kufungua browsers i.e chrome/mozilla /internet browse ngoma...
0 Reactions
3 Replies
923 Views
Habari zenu wakuu! Naomba msaada wa wapi ninaweza kupata digital cramp meter yenye uwezo wa kupima current ya DC na AC, voltage ya DC na AC pamoja na function zingine, maana nimezunguka maeneo...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Za leo ndugu zangu. Naombeni msaada kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natumia simu ya Samsung Galax Tab kwa matumizi ya internet na kupata habari. Ila cha kushangaza Jamii forum naingia kwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa jamii yetu ya kitanzania uelewa wa android umekua mdogo sana na siku zote watu wanafikiria simu hizi ni za bei ghali nimeandika makala hii ya kuzichambua simu za android za bei rahisi. Pia...
12 Reactions
124 Replies
20K Views
nipo dar kama wewe ni fundi wa simu upande wa hardware,lakini uwe na ofisi mimi nije nifanye kazi ya software. vifaa ni vyangu kwa software... mapato ntatoa nusu ya kila lipo ntakalofanya kazi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar wakuu.... kuna ugonjwa wa memory card pamoja na flash umeibuka unakuta flash ina ukubwa wa 16GB lakin inaingiza nyimbo 10 tu ukizidisha hazilii ukiiformat bado vile vile kwa anaejua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habari wana jamii Naitwa sumu ya panya haina haja unijue zaidi kazi yangu ni anti-privacy napenda kuleak taarifa,kupoteza ushaidi na taarifa za kimtandao,nafungua Locked...
5 Reactions
32 Replies
10K Views
hi nime format drive ya Windows nikijaribu ku boot inaandika hivi angalia hii picha
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Salam Wakuu! file limefutika miezi minne iliyopita! kuna Njia Yoyote ya kulirudisha?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wa tech Simu yangu ya tecno Ina shida ya kubadili majina tofauti na nilivosave mathalini jina la huyu atapewa huyu wengine inaunganisha kitu inachonipa shida sana kwenye mawasiliano...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wakuu, poleni na majukumu, mimi ni fundi simu nafanya hardware na software hivyo nahitaji watu au ofisi ya ku-share tufanye kazi, napatikana Dar.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Msaada tecno yang smatphone haionyeshi storage ya phone hata ukiweka memory card pia huioni...msaada kwa hili
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nina laptop imeanza kunisumbua. Pointer yake haitulii ninapogusa touch, nikiachia hata nikitumia mouse Inaendelea kucheza cheza nashindwa kufanya kazi zangu, nimepeleka kwa fundi amekorokochoa...
0 Reactions
2 Replies
646 Views
wataalam habari zenu naomba msaada simu kila saa inaleta pop up katika screen nime disable kila kitu ila nikiwasha data tu zinakuja nikiclose baadae inakuja ingine saa ingine zinakuja hadi picha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Antivirus Firm Kaspersky launches Its Own Secure Operating System The popular cyber security and antivirus company Kaspersky has unveiled its new hack-proof operating system: Kaspersky OS. The...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom