Naomba kama kunaye tutor wa java programming around moshi anipe msaada

TheCrazy Mchokozi

Senior Member
Apr 7, 2017
180
251
Habari Wana JF

Katika Kujifunza Awali Ya Java Programming Nimeipenda Sana Ila Nakabiliwa Na Mapungufu Wengi Sababu Nikakosa Tutor Ambaye Atanielekeza Vyema.

Napata Shida Na Concept Muhimu Pia Na Practical Errors

Naomba Kama Kunaye Tutor Wa Java Programming Around Moshi Anipe Msaada

Asanteni.
 
Chief, mimi nipo vizuri kwenye java, ujanja wangu wote nimeuanzia kwenye hizi tutorials Java (Beginner) Programming Tutorials: Java (Beginner) Programming Tutorials - YouTube then nkaanza tengeneza apps zangu mwenyewe, ikitokea nashindwa mahali naenda google. So kwa ufupi pitia hizo video tuturials, jaribu kutengeneza kasoftware, ukikwama mahali uliza tutakusaidia. Ukisema mtu aanzae kukuelekeza from scratch itakuwa ngumu sana
 
Nimekusoma Mkuu...Kama uko na vitabu vya soft copies ni pm...nione kama naweza vipata
 
Back
Top Bottom