UMEME MBADALA

Baba wa Mapaka

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
1,826
1,652
Hi all
Naleta kwenu hili swali ambalo nimekuawa nikisikia minogh'ono wakati niko mdogo kuwa
Eti kinyesi cha binadamu kina uwezo wa kizalisha nishati ya umeme je wana JF
Kuna uwezekano umeme huo ukazalishwa
Kama ni kweli je ni namna gani umeme huo huundwa niko interested kulijua hili


Wasalam
Natanguliza shukrani za dhati kwenu
 
Back
Top Bottom